Dunia mwendo wa ngisi
So usishangae mayut tukifanya kila kitu,
Ni kujaribu kucheza kama sisi
Ata masanse wakitutisha kutufinya, bado tutakam stage kuwakilisha kama konkodi, tubebe opportunities zote natujenge future na hizo mbaombao
Tutauza mayai na smokie ndio maisha isituboil
Tutafanya garbage collection ndio tusiingilie shughuli chafu kama crime
Tutaokota ndeng’a ndio tusibebe ndeng’a
Ju tunakula githeri lakini tunaogopa mahindi
Tutawaoshea magari, ju hiyo ni hustle fiti
Ju yutman ni kladi na ganji, we see beyond Gikomba, usitudharau, tunajua hustle safi itatufikisha Jade collection
Tunaishi na economy vile iko, ju ni ufala kulalamikia national budget tukishindwa kubudget mindset zetu
Tumeloze mabeste zetu kwa crime, hatukubali kuloze future pia
So na odds zote lazima kufaulu ikue sure bet
Dunia mwendo wa ngisi, very unpredictable
Mwisho wa somo la kiswahili, ni wakati wa michezo
Cheza soka si na vitabu ndio uepuke vi-taabu
Cheza brikichoo, lakini usipige wenzako tapo
Mwisho wa michezo, ni wakati wa somo la kiingereza
It’s self-doubt and procrastination, not the government
No one is there but everyone has the luck to travel that route
We are youthful even if the present is empty
It’s today
Thank you
By James Musau